vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Upweke umewaanza vijana mapema, Uzeeni sijui itakuwaje. Ni janga kubwa

    UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni tafsiri halisi ya maiti inayoishi. Utoto ni raha kwa sababu utoto unahusisha ushirikiano wa mtoto...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wameanza kuamka

    Naona sasa vijana kwa mara ya kwanza wameanza kuamka na kuelewa kwamba mambo mengi ni kwasababu yenu. Piganeni kwa katiba mpya.
  5. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

    Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi.. Moral of the story: Vijana tafuteni...
  6. JamiiForums Tanzania Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
  7. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Abdul Nondo ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa kufuatia uchaguzi mkuu wa ngome hiyo uliofanyika jana, Alhamisi Februari 29, 2024 kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo makao makuu ya ACT Wazalendo (Maalim Seif House) Magomeni, Dar es...
  8. JamiiForums Tanzania Video: The man mwaka huu jamaa ametuwakilisha vyema sana. Vijana mna la kujifunza

    Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie. Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa kiume mnaosumbuka kupata mabinti, Nawapa mbinu rahisi zaidi ambayo niliitumia enzi zangu,

    MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu. BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE, Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona anaendana ama kumzidi baba yake alivyo kwa vitu positive basi ni rahisi sana kumpata. ndio maana...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana tusing'ang'anie Dar

    Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii, Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna...
  11. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

    Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi Ngome ya Vijana ACT ni mtihani kwa Ndolezi Petro

    Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad. Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga.
  15. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  16. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya ajira kwa vijana

    Unadhani kuwa na elimu ya juu ni kigezo kitakachokusaidia kupata ajira? Tunasisitizwa kuhusu elimu, lakini kwa nini mwenye elimu ya juu zaidi hapati ajira? Wanaogopa kumuajiri kwamba atakuwa juu zaidi yao au wanaogopa atatakiwa kulipwa mshahara mkubwa wasioumudu? Watu wana elimu za juu lkn...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba! Unakubaliana kwa kiasi gani na kauli hii?
  19. JamiiForums Tanzania Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la pamoja la Wanafunzi wa Vyuo (ACTWASO) kuelekea uchaguzi wa ngome ya vijana taifa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…