vikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

    Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine. Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
  2. MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  3. Baada ya Ubelgiji na Uingereza, Canada nayo yaiwekea vikwazo Rwanda kufuatia vita inayoendelea Congo

    Wakuu, Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC. Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya...
  4. Bunge la Ubelgiji lapitisha azimio la kuiwekea Rwanda vikwazo

    Bunge la Ubelgiji limepitisha muswaada wa kuiwekea Rwanda vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kutokana na mchango wake wa machafuko mashariki mwa DRC. Azimio hilo lenye kurasa 11 liliwasilishwa na mbunge wa ubelgiji mwenye asili ya DRC mutyebere Ngoi kutoka chama cha kishoshalisti limeungwa mkono...
  5. Rwanda yalalamikia vikwazo vya Uingereza dhidi yake

    Rais wa Rwanda Paul Kagame na serikali yake wamelalamikia vikwazo vilivyowekwa na Uingereza dhidi yake. Serikali ya Rwanda imesema vikwazo vilivyowekwa na Uingereza kuihusu Rwanda baada ya kushutumiwa kuunga mkono machafuko nchini DRC kwa kutoa misaada ya kijeshi na zana kwa kundi la waasi la...
  6. Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  7. Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  8. J

    Jinsi ya kushinda vikwazo au chuki kazini

    Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
  9. Georgia : Kobakhidze kuwapa tuzo watumishi wizara ya mambo ya ndani waliowekewa vikwazo na Western countries

    Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor. Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
  10. Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  11. S

    Marekani yaziwekea tena vikwazo Kampuni zilizohusika kujenga Bomba la gesi la NordsStream 2

    Marekani imetangaza vikwazo kwa kampuni mbalimbali zilizohusika kwenye ujenzi wa bomba la gesi la Nordstream 2 lililokuwa likisafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya magharibi kabla ya kulipuliwa mwaka 2022. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuziwekea vikwazo kampuni zilizohusika kujenga bomba...
  12. China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

    Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan. == China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi za Marekani pamoja na maafisa wa sekta ya ulinzi wa Marekani Alhamisi hii (Disemba 5), ikiwa ni...
  13. K

    Kwa haya ni ngumu kukwepa vikwazo vya uchumi!

    Kwa ubakaji wa demokrasia wa kitoto tusingangae kuwekekwa vikwazo kama nchi. Kuna wanaosema tusijali lakini ukweli ni kwamba nchi yetu inategemea sana watalii ambao wanatoa hizo nchi. Utalii ni sehemu kubwa sana ya pato la nchi. Pili nchi yetu inategemea sana misaada hasa Afya kwa mwaka...
  14. Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  15. Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  16. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  17. Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

    Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi. Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza kuleta hatari za upungufu kwa mimea ya nishati ya nyuklia ya Marekani, ambayo mwaka jana iliagiza...
  18. Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  19. Pre GE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

    2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana Lakini sio siri CHADEMA...
  20. Nitapinga Israel kuwekewa vikwazo na UN hapo baadae.

    Niaje waungwana Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Pamoja na kwamba mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…