Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuwekwa vikwazo dhidi ya Belarus kufuatia tukio la Ndege kulazimishwa kutua ili kumkamata Mwandishi wa Habari mwenye aliye na mrengo wa Upinzani.
Roman Protasevich alikuwa kwenye ndege kutokea Ugiriki kwenda Lithuania ambayo ililazimika kutua Mji...
Nimekuwa nikishangaa sana kiasi kufikia mpaka kuona aibu kwamba naishi na jamii ambayo ipo nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Haya mambo ya kununua youtube views katika ulmwengu huu yapo tangu zaidi ya miaka 10 lakini inatia aibu kwamba hata baadhi ya wasomi wameuwa wabishi,
Watu kununu...
Haya ni maneno ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara yake huko Kenya.Haya maneno yamenishtua sana na kunifanya nijiulize maswali lukuki.
Ni nani huyo mtu ambae aliweka vikwazo vya Kufanya biashara Tanzania hadi ihitajike 'Suluhu'? Wananchi wa Tanzania walimchukulia hatua...
Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha kampeni.
Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema katika taarifa kuwa vitendo vya serikali ya...
Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020.
Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR.
Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata kiuchumi.
Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani ikiwa na mafuta,gesi na madini ya aina nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.