Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi.
Nikianza na marekani:
Whitehouse
PRESIDENT BIDEN
IMPOSES SEVERE COSTS ON RUSSIA FOR ITS INVASION OF UKRAINE
FEBRUARY 22, 2022
Full blocking sanctions on two large Russian financial...
Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.
Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu.
Katika taarifa...
Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati ya 64
Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo 46 vya biashara kati ya 64 vilivyokuwepo kati ya nchi hizo mbili ikiwa ni...
Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa.
Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? Na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu
Serikali ya Marekani imeiweka kampuni ya Israel inayotengeneza programu ya udukuzi ya Pegasus kwenye orodha ya makampuni mabaya, ikiishtumu kwa kutengeneza na kusambaza programu ya ujasusi kwa serikali za kigeni, zilizoitumia vibaya...
Watu wanaotujua ni ndugu, jamaa, marafiki, tuliopo nao makazini, majumbani, mitaani na sehemu mbalimbali.
Hii huwezi pinga kwa sababu changamoto za maisha na mafanikio ulizo.
Asilimia kubwa vikwazo vyetu ni watu wanaotujua na si mtu asiye kujua.
Watu wanaotujua ni ngumu sana kukubali kila...
Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI.
Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa.
Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki.
JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO?
Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6.
Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
Mama Samia ameamua kunyoosha kwa kwenda mbele, hataki hayo maisha ya uwoga uwoga, kazi zifanyike.......
Kenya and Tanzania have set December as the target time when the two neighbouring countries will have resolved most of the non-tariff barriers affecting cross-border trade.
The decision came...
Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe.
Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga.
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka huu, wanayo nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo na...
Inasemekana kuwa, hata paka mpole anaweza kupambana kwa nguvu anaposukumwa kwenye kona. Hilo pia ni sahihi kwa binadamu, kwani hata wale wanaoonekana kuwa ni waoga, wanaweza kushambulia katika njia zisizotegemewa ili kulinda maslahi yao na uhai wao.
Katika miaka kadhaa iliyopita, nchi za...
Umoja wa Ulaya (EU) upo kwenye Mchakato wa kuiondolea Burundi vizuizi vya kifedha, ambapo Mwakilishi wake Nchini humo amesema hatua hiyo ni mwanzo wa kufuta marufuku hiyo.
Mwaka 2016, EU Ilisitisha msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwa Serikali ya Burundi kutokana na ukiukwaji wa Haki za...
Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani kufuatia ziara iliyofanywa nchini Kenya
Alisema jumla ya vikwazo 37 vilijadiliwa katika mkutano wa pande zote hapo...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeonya kuwa inaweza kurejesha Vikwazo Nchini Mali kufuatia Kanali Assimi Goita kuchukua madaraka.
Kanali Goita ameitwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Viongozi wa Afrika Magharibi Nchini Ghana ambapo mapinduzi ya pili ya Mali katika miezi 9...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.