The European Union has “shot itself in the lungs” with ill-considered economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economy, Hungary’s prime minister has said...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine.
Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi?
Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo.
Mabeberu waliweka vikwazo ktk vipuri vya miundombinu ya gesi. Ujerumani ilipeleka injini fulani Canada...
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi
Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar
Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta...
Licha ya kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin akizungumza katika Kongamano Jijini St Petersburg amesema vikwazo hivyo ni vya ovyo na havina malengo, pia haviwezi kufanikiwa kuwarudisha nyuma.
Amedai kuwa vizuizi hivyo vinawaumiza wale walioviweka, akidai kuwa...
UPI MUSTAKABALI WA KITUO CHA ANGA CHA ISS MARA BAADA YA RUSSIA KUWEKEWA VIKWAZO LUKUKI NA WASHIRIKA WENZAKE EU NA MAREKANI
Maswali Mengi tumekuwa tukijiuliza Sana juu mustakabali wa kituo Cha iss ambapo kituo hichi kimekuwa kikishirikisha ushirikiano wa mataifa kadhaa makubwa katika pande...
Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia.
Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na...
Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao.
Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi...
Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi.
Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani...
Rais Volodymyr Zelensky ameyataka Mataifa ya Magharibi kuacha michezo na kuiwekea Urusi vikwazo vikali ili kumaliza vita, akisisitiza Ukraine itabaki kuwa Nchi Huru
Siku za hivi karibuni, Zelensky amekuwa akikosoa vikali Nchi za Magharibi huku Vikosi vya Urusi vikijaribu kudhibiti Miji miwili...
Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa.
Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun jana aliilaumu Marekani kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ikiwa kama kiongozi wa Baraza la Usalama anayeshughulikia vikwazo vya Sudan Kusini.
Wajibu wa kiongozi anayeshughulikia vikwazo ni kusaidia Baraza la Usalama kutoa azimio...
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi.
Bandari ya Mariuopol Urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za...
Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume kabisa cha matarajio ya nchi za magharibi. Wakati huo huo pesa ya marekani imeshuka thamani kwenye...
Umoja wa Ulaya (EU) unadhamiria kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi, na orodha ya sita ya vikwazo vinavyozingatiwa inamjumuisha Alina Kabaeva ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na Rais Vladimir Putin
Japokuwa Maisha binafsi ya Rais Putin yamekuwa yakilindwa kwa kiwango kikubwa, Alina...
Kwa maoni yangu haipo sababu ya mafuta kupanda Afrika,
(1) Kwanza hawa ku support nchi za magharibi ndio maana wengi wao hawakuilaumu Urusi kwa uvamizi na wengine hawakupiga kura kuilaumu Urusi.
(2) Katika vikwazo alivyowekewa mafuta hayamo hadi sasa nchi za EU ndio zinaongoza kununua mafuta...
Nchi za magharibi zinadhani zenyewe ndio zina haki ya kuadhibu nchi zinmgine, na hazitegemei nchi zingine kujitetea kwa namna yoyote ile!
Nchi za magharibi na washirika wao waliiwekea vikwazo lukuki urusi ikiwemo kutokuruhusiwa kufanya miamala kwa kutumia Euro na dola.
.Kwao hiyo ni sawa...
Meya wa Jiji la Moscow Nchini Urusi, Sergei Sobyanin amesema kuwa takriban wafanyakazi 200,000 wa makampuni ya kigeni wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kutokana na vikwazo ilivyowekewa Urusi kufuatia uvamizi wake kwa Ukraine.
Sobyanin amesema wiki iliyopita, mamlaka iliidhinisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.