vimbweka vya usiku

  1. Marcy

    Usiku na vimbweka vyake

    Kuna uhusiano gani kati ya usiku na kuzidi kwa maumivu? Mfano mama mjamzito uchungu huchachamaa zaidi wakati wa usiku. Hivyo hivyo jino huuma zaidi wakati wa usiku. Hata homa hushika mwili hasa nyakati za usiku kunani?
Back
Top Bottom