vinanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
  2. Tukumbushane wanamuziki, wapiga magita, vinanda nk waliowahi kufanya kazi Twanga Pepeta Band

    Mimi naanza na Jenerali Banza Stone a.k.a Mwalimu wa Waalimu, karibuni na nyie muendelee...
  3. Unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri? Tembelea video hii

    Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
  4. Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

    Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…