Habari wanJF.
Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini.
Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
Taarifa fupi ya tukio la Ajali ya Moto iliyotokea nyumbani kwa mtumishi Zuberi Hassani Msemo
Jambo afande.
Naomba mpokee taarifa hii ambayo imewasilishwa kwa afande CC pia kwa taarifa yenu pia.
Waliofariki
1. Mariam Zuberi Msemo - 1st Born
2. Salma Zuberi Msemo - 2nd Born
3. Bisma Zuberi...
Habari zenu boss zangu.
Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table, d, vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo...
+255 62 290 8295 simu ziite
Bei sticker za kawaida (plain)
Kwenye cm 3k
Kwenye pc 15k
Bei sticker za picha
Kwenye cm 5k
Kwenye pc 20k
Pc nzima 25k
Napatikana dar es salaam Survey
Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi.
Kama hujasoma au...
CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
Ukiacha viwanja vikubwa vinavyojulikana kama Mkapa Stadium na Azam Complex, Kwakweli huu uwanja wa Majaliwa licha ya kuwa mkoani lakini una muonekano mzuri sana na standard hususan kwa vilabu vidogo vya mikoani zinazoshiriki ligi kuu.Ni aibu kwa baadhi ya timu tena kongwe kama JKT kutumia uwanja...
Wahenga walisema Kwa 'shujaa uenda kilio ila Kwa mwoga huenda kicheko' ,huu msemo unaweza kutumika kuelezea Kwa kirefu maisha ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania.
Kwa mtazamo wangu kulingana na siasa zetu, Kuna makundi matatu ya vyama vya upinzani.
Kundi la kwanza, vyama majasiri
Kundi...
Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k.
Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892.
Usisime spare, sema Kwa Hussein
Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU:
Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu.
Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao...
Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote.
Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM?
Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo?
Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023.
Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar
Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama
Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.