ving’ora vya magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaotumia ving’ora kwenye magari na pikipiki bila ruhusa, faini Tsh. 300,000 au kifungo hadi Miaka 3

    Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya zinazopiga marufuku ufungaji na matumizi ya ving’ora na taa za ishara (beacon lights) kwenye magari binafsi bila kibali maalum, kufuatia kuongezeka kwa kero na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara nchini kote. Kanuni hizo, zinazojulikana kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…