Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei
Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils.
Kumeza mate kwa maumivu na taabu,
Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Habarini
Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu?
===============
Moderator Active Naomba title isomeke "Je, ni kweli soda na vinjwaji vya energy vinasababisha saratani?"
Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya kusema mtengenezaji wa aina mbalimbali za pombe kali eti wanasema "POMBE CHAMGAMSHI". Tena bora...
Tangazo la Kazi - Jiunge na Timu ya WhyNot In Lounge and Kitchen!
Tunakukaribisha kujiunga na timu yetu yenye ari na ubunifu hapa WhyNot In Lounge and Kitchen, iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo:
📌 Mpishi Msaidizi
📌 Bartender/Counter Staff...
Ukiachana na hii video..,
1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku.
2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa kutuweke ka mchezo cha kusaka bonus..muhindi anatukula kwenye betting ilipaswa kidogo mtufariji kwa...
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida.
Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k.
Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?
Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana Watatu kwa kosa la uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia wakitumia Kemikali ya ‘Ethanol’ isivyo halali
Wahusika hao waliohukumiwa Frank Donatus Mrema, Faham Salim Ngoda na Issa Juma Hassan walitumia...
Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe,
mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa.
Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
Lakini sasa imekuwa tofauti sana wahudumu wengi wa baa hawauzi tu vinywaji bali wanauza miili yao wanafanya ngono kwa malipo ya pesa. Sheria ya vileo inaruhusu hili kutendeka? Nini kifanyike?
Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃.
Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.