Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na inafanya kazi
Ina vifaa vyote vinavyohitajika katika kazi hii pamoja na ofisi pamoja na wafanya kazi...
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja
Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu.
Asante
Kama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika.
Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii?
Je...
bei yake: 1.2 milioni
sehemu: ukonga, g.mboto
namba ya simu: 0764 509226
risiti yake ipo.
gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo.
Itafutwe namna Wazalishaji wa...
HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU
Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali.
Kuachana na Manzese ningependa kujua wale wa manzese wanapatia wapi? Na je! Hawa sales representative wa makampuni...
unishukuru Baadae...
1.Viceroy na Soda water...vichupa viwili maliza hapo kula vizuri kafinye mtu.
2.konyagi ndogo na soda water ..vichupa viwili mix na kile kinywaji chekundu cha italy utaniambia balaa lake.
3.Black and white mix na tonic kwa mbaali sana piga ya kutosha utaweka heshima...
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.
Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?
Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
Wakuu habari za siku nyingi,
Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu.
Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k,
Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
Anapotokea mtu akapandisha kodi ya Mafuta akashusha kodi ya Vinywaji na wananchi wakaridhika inaonesha ni jinsi gani tuna taifa la kinafiki kwa kiwango kikubwa.
Kuna wale wauaji ambao huwa wana sura za upole na hawajengi makunyanzi wakati wakitaka kutimiza malengo yao.
Hawa wanaweza...
Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.