Wakuu habarini,
Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi?
Karibuni kwa mawazo