Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata kilo 1,983.31 za dawa za kulevya na kuteketeza ekari 55.5 za mashamba ya bangi katika operesheni kabambe ya mwezi Machi 2026.
Katika msako huo uliofanyika nchi nzima, watuhumiwa 77 walitiwa mbaroni huku vyombo vya...