Viongozi wa dini. Hili eneo wengi wanaliogopa ila ni eneo hatari sana linaloathiri ustawi wa watu wetu. Lina uhusiano mkubwa sana na politicians. Eneo la dini limekuwa hatarishi sana kukwamisha ustawi wa watu wetu. Viongozi wanajipatia ukwasi usiomithirika kwa kuwanyonya wananchi mafukara sana...