viongozi mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Iraq yazuia zaidi ya Bilioni 39 na dhahabu za mbunge Alia Nassif kufuatia kampeni ya kuzuia rushwa nchini humo

    WATU wana ishi Kuna yule mshamba wa Singapore anatukana watu humu hua namdharau tu dollar 12 elfu bro sio hela hiyo Kwa nchi za nje ungekua bongo walau. Huyu dada kajua kitumbua pesa dadeki hallooooo, wanangu eehh ukipata short cut pita Mzee maisha ya juhudi na bidiii achia wakongwe. Pesa tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka hana Legitimacy ya kuwakosoa mafisadi wenzake

    Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi. Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa za mboga. Kisa tu wengine walipata mgao mkubwa wa kifisadi. Mbaya zaidi ufisadi ulifanyanyika kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali hatujali misiba yenu ya viongozi Mafisadi Watanzania wanataka haki na uhuru

    Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  5. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na viongozi wa dini ni tishio kubwa la ustawi wa jamii ya watanzania na Afrika

    Viongozi wa dini. Hili eneo wengi wanaliogopa ila ni eneo hatari sana linaloathiri ustawi wa watu wetu. Lina uhusiano mkubwa sana na politicians. Eneo la dini limekuwa hatarishi sana kukwamisha ustawi wa watu wetu. Viongozi wanajipatia ukwasi usiomithirika kwa kuwanyonya wananchi mafukara sana...
Back
Top Bottom