Serikali hatujali misiba yenu ya viongozi Mafisadi Watanzania wanataka haki na uhuru

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya.

Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati viongozi karibu wote mabilionea . Tena tungependa Mungu awaondoe wote ili nchi yetu ipate uhuru na Mungu ameshaanga kufanya kazi hiyo kusafisha nchi

Toeni ujinga wenu wa kupoteza muda kuonyesha misaba yenu kwani watanzania wengine sio binadamu? Vijana wa october 29 wako wapi!
 
Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati viongozi karibu wote mabilionea . Tena tungependa Mungu awaondoe wote ili nchi yetu ipate uhuru na Mungu ameshaanga kufanya kazi hiyo kusafisha nchi

Toeni ujinga wenu wa kupoteza muda kuonyesha misaba yenu kwani watanzania wengine sio binadamu? Vijana wa october 29 wako wapi!
Toeni ujinga wenu wa kupoteza muda kuonyesha misaba yenu kwani watanzania wengine sio binadamu? Vijana wa october 29 wako wapi!
 
Screenshot_20260329-072939~2.png
 
Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya.

Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati viongozi karibu wote mabilionea . Tena tungependa Mungu awaondoe wote ili nchi yetu ipate uhuru na Mungu ameshaanga kufanya kazi hiyo kusafisha nchi

Toeni ujinga wenu wa kupoteza muda kuonyesha misaba yenu kwani watanzania wengine sio binadamu? Vijana wa october 29 wako wapi!
useless and completely nonsense
 
Wenyewe wanazikana kifahari kwa kusheherekea maisha Yao ww kajambanani hohehahe hujielewi unaanzisha thread kuhamasisha wachukiwe. Amka hapa duniani ulikuja mwenyewe na utaondoka mwenyewe, usipojipanga watakupanga.
 
Back
Top Bottom