viongozi wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    LGE2024 Idadi kubwa ya wananchi wapo tayari kwa Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa na wengi zaidi wataichagua CCM

    Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa kuichagua CCM, kwasababu ndicho chama pekee nchini cha kuaminika ndani na nje ya nchi. Lakini pia ndicho...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Serikali na Polisi mnahamasisha wananchi kujichukulia sheria mkononi, msipodhibiti watu wasiyojulikana gharama yake itakuwa kubwa mbeleni

    Wakuu salam, Tumeshuhudia na bado tunaendelea kuona matukio mbalimbali ambayo yanahusisha watu kutekwa huku wahanga wakubwa wakiwa ni wale ambao wanakosoa au kupinga mambo fulani kwenye mamlaka mbalimbali za serikali, wachache wanapatikana na wengine bado inaendelea kuwa kitendawili. Mbaya...
  3. L

    Amos Makala apokelewa Wilayani Karatu, afanya mazungumzo na Viongozi wa CCM na serikali kutoka Ngorongoro

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu. Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  5. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  6. Girland

    Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

    Jumapili hii taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA akiwepo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, Makamu mwenyekiti Tundu Lissu na viongozi wengine zilitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.Taarifa rasmi ya msemaji wa CHADEMA ilieleza pia. Hii Siyo Mara ya kwanza, kwa viongozi Hawa...
  7. N

    LGE2024 Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanatimiza zoezi

    Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura. . Ni mpango kabambe vijana wengi wasijiandikishe ili zoezi la upigaji kura liwe rahisi kwa CCM. Matangazo hayatolewa kwa wingi...
  8. S

    Pre GE2025 Rais anafanya makosa makubwa sana kuwapigia debe baadhi ya viongozi wa CCM kwamba "nirudishieni huyu" mwaka 2025

    Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana kwake, kuwaambia wananchi nirudishieni Prof Kabudi, au kiongozi yeyote wa CCM, mwaka 2025? Rais Samia...
  9. T

    CCM ina tatizo la kuwa-brand watu wasio na uwezo.

    Ndani ya mfumo wa CCM na hata serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejazana viongozi/watendaji wasio na uwezo na hii inatokana na kutokuwepo vetting system inayoeleweka. Huwezi kujenga taifa Bora kama hauna vetting system.sisi hata vetting system hatujui maana yake. Sifa pekee ya...
  10. Vichekesho

    Pre GE2025 Morogoro: Baadhi ya watu wanaojitambulisha kuwa ni viongozi wa CCM wanapita kaya kwa kaya kuuliza itikadi za watu

    Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani. Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa kama mimi niko CHAUMA wewe kiongozi wa CCM inakuhusu nini? Je hakuna utaratibu wa kufahamiana...
  11. Suley2019

    Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wanamshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa

    Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa. --- Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema: Mimi nikiwa Ardhi pale Manyara mwaka 2013, kilitokea na Uchaguzi wa Mbunge, kuna Mbunge alifariki kule kukawa na Uchaguzi...
  12. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Kinana: Rushwa ni adui wa haki, Dini zote zinakataza na chama chetu kinakataza

    KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi. Amesema hayo wakati...
  13. kichongeochuma

    Viongozi wa CCM fundishaneni kufuata sheria, msijione kuwa CCM basi mpo juu ya kila kitu nchi hii

    Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine. Jueni mipaka yenu makada wenzangu, nimestaajabu leo mahali fulani mwenyekiti wa CCM wilaya eti nae anatoa amri ya kumsimamisha kazi...
  14. Yoda

    Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  15. Zanzibar-ASP

    Wito: Mdahalo uitishwe baina ya Lissu na viongozi wa CCM kuhusu hoja ya 'ubaguzi wa kimuungano'

    Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika yenye kuathiri mustakabali wa maisha ya watanganyika moja kwa moja. Lissu ametoa hoja zake akijificha...
  16. O

    DOKEZO Mwenyekiti wa CCM(W) Rorya Ongujo Wakibara na DC Chipola Wameandaa Genge kuwazomea Viongozi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati Lengo la kikao ni kuwapanga Wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka Tarafa ya Suba kuwazomea Viongozi Wastafu...
  17. R

    Je, Mawaziri na viongozi wa kisiasa wapo salama? Tunaamini watalii wataongezeka kuja kwenye nchi ambayo Mawaziri wanatuhumiwa kumuhujumu Rais?

    Tunaweza kujiuliza maswali magumu kuhusu usalama wa viongozi wa chama cha mapinduzi. Lakini pia ikawa hoja ya usalama wa viongozi na watu maarufu nchini. Sina uhakika kama anayetukanwa ni Rais au ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi lakini najiuliza huko wapi usalama wa wanaotuhumiwa? Je...
  18. R

    Watoto wa viongozi wa CCM hata wa primary wanaruhusiwa kufanya siasa majukwaani; wasomi wa vyuo vikuu siasa marufuku. Tumelogwa?

    Chama cha mapinduzi baada ya kuona siasa zinazalisha viongozi shupavu kutoka vyuoni kilikuja na mbinu yakukataa siasa kwa wanafunzi wa vyuo. Ili watimize lengo lao wakapiga marufuku siasa wakishirikiana na wakuu wa vyuo na maprofesa na madaktari waliosimamia Katazo hili wakapewa uteuzi. Leo...
  19. sonofobia

    Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  20. Kaka yake shetani

    Viongozi wa CCM wengi wameacha kutumia JF ukilinganisha kipindi cha nyuma? Sababu ni uwoga

    Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji. Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya. Tatizo ni uwoga hapa JF...
Back
Top Bottom