Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu.
Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
Wanabodi,
Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao.
Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia mpango wa maandamano.
Wanawashikiria kwa sasa wanahojiwa kwa ajili ya hatua za kisheria.
Kamanda...
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?
Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan...
Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano.
Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo.
Huu ni ushauri tu
Salaam Wakuu
Sote tunayo taarifa ya mipango ya kufanyika Maandamano. Yanayoandaliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Maandamano hayo yanakuja baada ya vitendo vya utekaji na mauaji ya baadhi ya viongozi wa Chama hicho.
Tayari Jeshi la Polisi Nchini limeshapiga marufuku uwepo...
Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika ,Tundu Lissu,Mpuuzi Lema na Mjnga Sugu hatakiwi kutoka nje ya uzio wa nyumba zao kwa siko husika.
Habari wanaJukwaa
Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani.
Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
Mara nyingi nimesema kwamba Polisi Tanzania wanafanya kazi kwa namna ambayo ni very unprofessional na kwa lengo la kuwafurahisha CCM. Wanajikomba, wanajipendekeza kwa CCM kupita kiasi, hadi inatia aibu na kichefuchefu.
Sasa katika tukio la Mbeya la viongozi wa Chadema kukamatwa, Dr. Nchimbi...
Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime.
Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Dk...
bavicha kukamatwa
chadema
emmanuel john nchimbi
kauli
kuelekea 2025
mambo ya ndani
mfano
mwanadiplomasia
nchimbi
siasa za tanzania
umekuwa
viongoziviongoziwachademawanachama
wanachama wachadema
yako
Kuwakamata viongozi wa chama kikuu cha ushindani CHADEMA mkoani Mbeya kinaweka rehani ubunge wa Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Chama chake cha Mapinduzi (CCM)
Hatua hiyo inakipa umaarufu chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kiki na...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
Soma Pia:
Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea.
Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
Nakushauri Tundu Liissu utaje mapema iwezekanyo hio orodha ya wanachama wa CHADEMA walionunuliwa pamoja na huyo kiongozi kuliko kusuburi waanze kuondoka na kuanza kukipkaa chama matope kama anavyofanya sasa Msigwa ndio muanze kuwajibu kwani itakuwa ni too late.
Kuna faida kubwa sana kuwaanika...
MISUKO SUKO WANAYOPATA HAMAS NA MISIMAMO KATIKA KUPIGANIA HAKI ZAO NA NCHI YAO KUTOKA MADH-LUMA
Tangu Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, alipouawa mjini Tehran, mji mkuu wa Iran, baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian, imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.