Kiongozi wa dini, Sheikh Khamis Mataka, amesisitiza kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuikosoa na kuishauri serikali inapokosea, lakini wanapaswa kufanya hivyo kwa hekima, busara na kutumia kauli laini bila kumwaadhiri kiongozi hadharani, akisisitiza kuwa lengo linapaswa kuwa kukosoa jambo...