Sheikh Mataka: Viongozi wa Dini hawapaswi kabisa kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kiongozi wa dini, Sheikh Khamis Mataka, amesisitiza kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuikosoa na kuishauri serikali inapokosea, lakini wanapaswa kufanya hivyo kwa hekima, busara na kutumia kauli laini bila kumwaadhiri kiongozi hadharani, akisisitiza kuwa lengo linapaswa kuwa kukosoa jambo lenyewe na si kumshambulia mtu binafsi.

“Viongozi wa Dini hawapaswi kabisa kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri serikali, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini”

Hivi kwenye biblia kuna andiko linalohimiza jihad?

Pole kwa mujaheedina na naunga mkono kuwe na kumbukumbu ya kuwaenzi
 
Kiongozi wa dini, Sheikh Mataka, amesisitiza kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuikosoa na kuishauri serikali inapokosea, lakini wanapaswa kufanya hivyo kwa hekima, busara na kutumia kauli laini bila kumwaadhiri kiongozi hadharani, akisisitiza kuwa lengo linapaswa kuwa kukosoa jambo lenyewe na si kumshambulia mtu binafsi.

“Viongozi wa Dini hawapaswi kabisa kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri serikali, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini”

kiongozi kama kitima, kalikawe B. au pornosupester gwajiboy hawawezi kushauri wala kukosoa, ila wana uwezo mkubwa sana wa kuchochea chuki na ghasia miongoni mwa jamii.

ukiona wanashauri, basi ujue huo utakua ni unafiki tu, na hivyo ndivyo walivyo hadi kwenye mimbari za mahekalu yao🐒
 
Awamu ya sita ni islam, chawa against Christians.
 
Kiongozi wa dini, Sheikh Khamis Mataka, amesisitiza kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuikosoa na kuishauri serikali inapokosea, lakini wanapaswa kufanya hivyo kwa hekima, busara na kutumia kauli laini bila kumwaadhiri kiongozi hadharani, akisisitiza kuwa lengo linapaswa kuwa kukosoa jambo lenyewe na si kumshambulia mtu binafsi.

“Viongozi wa Dini hawapaswi kabisa kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri serikali, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini”

Hiyo ni kwamujibu wa mkataba kati ya CCM na BAKWATA, wengine hawahusiki.
 
Back
Top Bottom