Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Au unataka umtetee sheikh wako wa Madaba?😂😂😂😂
Au unataka umtetee sheikh wako wa Madaba?😂😂😂😂
Sirikali zenyewe za kushauri kwa upolee n̈ hizi katili majeuri'viburi'fisadi'na haramu àmà zìgine shekh?Kiongozi wa dini, Sheikh Khamis Mataka, amesisitiza kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuikosoa na kuishauri serikali inapokosea, lakini wanapaswa kufanya hivyo kwa hekima, busara na kutumia kauli laini bila kumwaadhiri kiongozi hadharani, akisisitiza kuwa lengo linapaswa kuwa kukosoa jambo lenyewe na si kumshambulia mtu binafsi.
“Viongozi wa Dini hawapaswi kabisa kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri serikali, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini”
Kwa hiyo ..ugaidi ni sawa ila kukosoa ndiyo kosaKiongozi wa dini, Sheikh Khamis Mataka, amesisitiza kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuikosoa na kuishauri serikali inapokosea, lakini wanapaswa kufanya hivyo kwa hekima, busara na kutumia kauli laini bila kumwaadhiri kiongozi hadharani, akisisitiza kuwa lengo linapaswa kuwa kukosoa jambo lenyewe na si kumshambulia mtu binafsi.
“Viongozi wa Dini hawapaswi kabisa kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri serikali, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini”
Acha kuwasema wa Bakwata, shehe Ponda hategwi kwa tende na nyama.Kuna baadhi ya Masheikh wakipigwa sahani za ubwabwa au kutulizwa kwa vijisenti kidogo! hujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu sana