Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .
Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi...