viongozi wa jeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khamenei ana hali mbaya, na baadhi ya viongozi wa Jeshi hawaaminiki

    Hali ya Khayatollah inasikitisha wanasema sukari inamsumbua na presha. Mwenyewe anasema amechoka kuishi maisha kama dikdik. Kwa sasa wanamwamisha kwenye maandaki kila baada ya muda mfupi ili kukwepa kushambuliwa. Na ulinzi wake unabadilishwa badilishwa maana wanasema kuna Mayahudi katikati yao...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

    Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA? Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe. CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu . Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi...
Back
Top Bottom