Ayatollah Ali Khamenei ana hali mbaya, na baadhi ya viongozi wa Jeshi hawaaminiki

Ayatollah Ali Khamenei ana hali mbaya, na baadhi ya viongozi wa Jeshi hawaaminiki

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Hali ya Khayatollah inasikitisha wanasema sukari inamsumbua na presha. Mwenyewe anasema amechoka kuishi maisha kama dikdik. Kwa sasa wanamwamisha kwenye maandaki kila baada ya muda mfupi ili kukwepa kushambuliwa. Na ulinzi wake unabadilishwa badilishwa maana wanasema kuna Mayahudi katikati yao.

Makamanda kadhaa wa Iran wamenyong'onyea sana baada ya kuuliwa Mkuu wa Majeshi na makamanda kadhaa. Na wamekuwa katka hali ya kutoaminiana wakijiuliza hizo taarifa zao Mayahudi wanatoa wapi.

Wafanyakazi wote katika sehemu zenye vinu vya kinyuklia wamegoma kwenda makazini na hata wale ambao wapo kwenye maghala ya silaha na viwandani.

Irani nayo ilitupa makombora vagalantly kuelekea Israel na kuua wananchi wawili na kubomoa mabanda ya kuku sehemu mbalimbali kitu ambacho kitawanyima chakula Israel watakufa kwa njaa. Israel yasema imepokea kwa mikono miwili makombora hayo na kuwabariki Wairan.

Kwa sasa Israel hakuna raia amebaki inasemekana tel aviv yote imekuwa kama kifusi cha mchanga hakuna kiumbe hai kabaki. Na Israel imesema yenyewe itajibu tena kwa utulivu kama kawaida. Ila inaomba Iran isiache kuwashtua shtua na wao wanasema watatuma mabinti wao wakawasalimie tena Iran.

Yaani kwa ujumla ni mvurugano tu wa hizi habari. Tuendelee kumwombea Khayatollah maana anaishi maisha magumu sana kuliko tunavyodhani. Hana amani na anashindwa jumuika na familia yake. Kwa sasa anatumia muda mwingi kwenye mapango. Anatoka kidogo wanamchukua video wanarusha kwneye vituo vya tv na mitandao kisha anarudi tena shimoni.

Vita iendelee...
 
Uzi wa nne huu unaanzisha wakati mmoja vp bandugu
 
Utawala wa Iran unakiri kwamba mkuu wa idara ya upelelezi, Gholam Reza Mharabi, na mkuu wa idara ya operesheni ya Mkuu wa Wafanyakazi, Mehdi Rabbani, wameuliwa leo.
 
Ila wabongooo!

Yaani unaandika tu tarifa za kichwani mwako na unajiona uko sawa tu....!

ndiyo maana mambo ya nchini kwetu hayaendi itakavyo
 
Back
Top Bottom