viongozi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Vetting ya viongozi ni muhimu sana, kuna wenye kashfa

    Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting. Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi. Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi...
  2. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu, wasaidieni waliodhalilishwa kwa kupigwa hadharani na viongozi wa umma

    Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya. Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata. Vitendo hivi...
Back
Top Bottom