Pale JUU kama kuna uchaguzi wa hovyo, mbaya, mmeweka mtu asiyefaa, ambaye hana sifa eg, hana uwezo wa kufikiri from higher mental faculties, kutoa maamuzi ya busara, kutenda, kusimamia lile analoliamini ambalo logic, common sense na intuition vinamwongoza, vyote vitalavyochaguliwa kutoka hapo...