viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  2. Wananchi wengi wakilipa kodi ndio wataweza kuwadhibiti viongozi wao. Lakini sio kwa nchi yetu ambayo walipakodi hawafiki hata robo ya idadi

    Kwema Wakuu! Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo Kwa sababu watakaolipa kodi ndio watakaokuwa na uchungu na nchi. Watakaokuwa na uchuñgu na kodi wanayoitoa. Sasa kama...
  3. Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  4. X

    Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo. Ajenda kuu ilikuwa China. Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China: 1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
  5. Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

    * RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia, * Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka, * Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari; * Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk...
  6. Mabeberu Interest yao ni Viongozi watakaowasaidia kwenye Maslahi yao (JK Nyerere)

    Reminiscing from the Past; Hotuba ya Nyerere kuhusu Flip Flopping ya kina USA et al... https://youtu.be/lcu329NAWtM?si=me5_3i-aA6xcJ-Od
  7. Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

    A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
  8. M

    Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

    Utafiti hupingwa na utafiti Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa. Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine" Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo...
  9. Viongozi Waliokuwa Ndugu wa Giza: Safari za Damu na Machungu

    Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
  10. Mambo ambayo watu wanayaiga kutoka kwa viongozi wao

    1. Kaunda suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere 2. Wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi wanajitoa uhai 3. Wamakonde wa msumbiji walimuiga samora machel kufuga ndevu sa hv unawakuta wamakonde...
  11. Shaffih dauda acha chuki za kipuuzi kwa viongozi wa simba .haujui lolote zaidi unataka tu upate nafasi umekosa balance na huna sifa za kiuandishi,

    Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja anabadilika ,Leo anaiona simba na uongozi wote hasa upande wa mo ! Hawastahili kuiongoza ,huyohuyo...
  12. Kwanini misiba ya viongozi wengi wa Waafrika inaombolezwa kwa muda mrefu zaidi kuliko mataifa ya nje

    Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1] vs Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2] Soma zaidi: 1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi kifo cha Raisi 2. Malawi yatangaza siku 21 za maombolezi kifo cha makamu wa raisi.
  13. SoC04 KIONGOZI BORA WA KESHO: Mchakato wa kuwapata viongozi bora Tanzania kwa miaka 25 ijayo

    1.0 UTANGULIZI KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna mbalimbali kama vile kuchaguliwa, kuteuliwa au kurithi. Kuna aina kuu mbili za viongozi ambazo ni kwanza...
  14. Viongozi katika skendo awamu hii

    Babati Naibu waziri katumia chupa kwa kijana wa kiume, Mafia DED kabaka Beki 3 , safari hii RC kalawiti binti kwenye gari. Yaani ni ukatili na upwiru tu kwa viongozi wa leo.
  15. Maslahi ya Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi (NSSF&PSSSF)

    Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
  16. Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

    Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF. mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine. Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
  17. Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  18. D

    SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
  19. Kwanini viongozi wa juu wa serikali hupenda kuwapa nafasi watu wa ovyo

    Huwa nashindwa kuelewa kwanini viongozi wetu hupenda kuwapa nafasi watu wa hovyo mfano Pierre liquid. Na wengineo Ina maana Watanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni kama wa Pierre liquid ndio maana Pierre liquid alipelekwa bungeni kipindi kile kama sample.
  20. Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi. Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko ~ Uhuni mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…