viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango, Watanzania wana haki ya kujua viongozi wao walipo na wanachofanya

    Habari wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

    Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  5. JamiiForums Tanzania Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
  6. JamiiForums Tanzania Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi nchi za kiislamu wazungumzia vita vya Gaza kwa hamasa lakini bora wangenyamaza

    Hamasa miongoni mwa nchi za kiislamu kuhusu vita vinavyoendelea Gaza zimepanda zaidi. Viongozi watatu ndio waliozungumza kwa hasira kwenye mkutano wa mazingira unaoendelea huko Dubai. Raisi Erdogan amesema vita vikimalizika Benjamin Netanyahu itabidi ashtakiwe kwenye mahakama ya uhalifu wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

    Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa! Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
  11. JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Napendekeza kutungwe Sheria Kali ya Kunyongwa hadharani Viongozi Waandamizi Wanaowadanganya wazi wazi Watanzania

    Kwa mfano kukitokea Kiongozi Mwandamizi yoyote akatudanganya Watanzania Kimakusudi kuwa Kiongozi fulani Hajafa au Haumwi na mzima wa Afya anaendelea na Majukumu yake Ofisini huyu GENTAMYCINE sipendekezi tu aishiye Kunyongwa hadharani bali kama ni Mwanaume basi Ahasiwe kabisa na akiwa ni Mwanamke...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Hili shirika viongozi wake ni useless

    Walianza leta sababu za ukame na mabwawa kukauka,Leo hii mvua Hadi za mafuriko ila mgao is the worst,wikiend yote mmekata nkadhani leo jumatatu mtatuachie tufanye kazi Ili tulipe Kodi mueze jiendesha ila mmekata tena. Tanesco mnafanya nn ofisini?Shame on you,let me remind you hampo hapo kuchukua...
  14. JamiiForums Tanzania Ahadi za Viongozi kuhusu kuanza kwa Huduma za Usafiri wa Treni ya SGR zimedumu kwa miaka 5 na bado haijaanza kazi

    Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu. Hapa kuna mtiririko wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania inabana Matumizi kama viongozi wake wanavyodai?

    Salaam wana JF, Niende direct kwenye point. Tanzania imepeleka watu 736 katika mkutano wa mabadiliko tabia ya nchi huko Dubai #Cop28 Msafara ambao unajumiasha viongozi,wafanyabiashara,makatibu,wasaidizi nk.. Je nani anagharamia tiketi? Maradhi? Posho? Za kwenda na kurudi mpaka mkutano huo...
  16. JamiiForums Tanzania Tuzo za Pongezi kwa Viongozi wa UWT Taifa

    TUZO ZA PONGEZI KWA VIONGOZI WETU WA UWT TAIFA Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) tarehe 01 Disemba 2023 wamepokea Tuzo za Pongezi kutoka kwa Viongozi wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuwapongeza...
  17. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  18. JamiiForums Tanzania Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu. Kuchonganishwa na baadhi...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange: Viongozi Waelezeni Wananchi Mafanikio Sekta ya Afya

    Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini. Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi shangwe za teuzi za viongozi wa CCM zinavyozimika mithili ya Mshumaa nyikani

    Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…