UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk.
Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
Habari,
Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611.
Kipaji chochote ambacho kinaweza kuendelezwa mfano ubunifu wa vifaa, uchekeshaji (comedy), vipaji vya michezo...
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:
1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page
Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.
1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
Habari za mchana wanabodi, hongera kwa waliofanikiwa kufunga mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan mpaka siku ya leo, hakika mola yupo nanyi! Baada ya salamu hiyo napenda kutoa maoni yangu machache kuhusu hizi shule zetu zinazoibuka kila siku kwa jina english medium, kwa kweli napenda kukiri...
Wadau habari zenu!!
Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!!
Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!!
Asante
TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020.
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV.
Tunatangaza nadfasi za kazi kwa vijana wa kike na kiume wenye vipaji na ujuzi wa kutoa huduma zifuatazo...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu?
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
Habari wadau!
Baada ya kimya kirefu leo vidole vimeniwasha nimeamua kuandika thread .
Nauliza tu je kuna ulazima kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na masomo ya sayansi ambayo ki uhalisia yanaonekana kuwashinda wengi au tukomae na kuakikisha tunagundua vipaji vya watoto wetu ASAP(As Soon As...
WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI?
Habari wadau.
Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni.
Aina 7 za vipaji:
1) Ubunifu
2) Muziki
3) Hesabu
4) Picha
5) Lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.