Nimefuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Madini uliofanywa leo 27 April 2023 na Waziri Dotto Biteko Bungeni na nimevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na sekta hiyo hasa katika uendelezaji wa sekta unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan...
VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA
1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya Wanafunzi na nyumba za Walimu.
2. Kutengeneza Madawati ya Shule za Msingi na Shule za Sekondari.
3...
Wazima humu, hivi ni mimi nipo nyuma ukilinganisha na vijana wenzangu au ni vp?
Mfano, miaka fulani nilikua nafanya kazi kwenye kampuni moja hivi nilikua nina utaratibu kila nikishuka kituoni nanunua zangu gazeti daily news au the citizen, mwananchi n.k naenda zangu ofisini, likini nikifika...
Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya.
Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni;
Vituo vya Afya
Kilimo
Maji
Usafiri na Usafirishaji
Elimu
Ajira
Usalama wa Chakula
Huduma ya Umeme
N
VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA
(1) MIUNDOMBINU YA KLABU
(a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI.
(b) Marekebisho ya jengo la klabu-JANGWANI
(c) Kuendeleza TRAINING CENTRE-KIGAMBONI
(2) MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU
Klabu yetu...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili
Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya wenzetu nchi tulizopata nazo uhuru, wengi with nothing compared, kiukweli kabisa, sisi tumeachwa...
TANESCO wametaja mabadiliko ya mara kwa mara ya vipaumbele vya serikali kama moja kati ya kitu ambacho huathiri mpango wa TANESCO. Hayo yameandikwa katika mpango wa TANESCO wa 2020 hadi 2025. Pia wametaja mahusiano ya kimataifa na makubaliano ambayo huwa yanakuwa tofauti tofauti.
Katika mambo...
Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA.
Mwandishi wetu, Dar es salaam
Leo 29 Julai, 2021.
Shirika la Posta Tanzania likiongozwa na Kaimu Postamasta Mkuu Ndugu Macrice Daniel Mbodo limefanya Mkutano na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania lengo ni kuwaeleza...
Haya ni magazeti kutoka kampuni moja yaliyotoka leo June 16th. Lakini vipaumbele vya habari vimetofautiana sana. Habari kuu kwenye kiswahili[Mwananchi], ni Kesi ya Sabaya [Siasa] huku kwenye la kiingereza [The citizen] ni habari ya Usafirishaji (Biashara & Uchumi), huku habari ya Sabaya ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.