Wazima humu, hivi ni mimi nipo nyuma ukilinganisha na vijana wenzangu au ni vp?
Mfano, miaka fulani nilikua nafanya kazi kwenye kampuni moja hivi nilikua nina utaratibu kila nikishuka kituoni nanunua zangu gazeti daily news au the citizen, mwananchi n.k naenda zangu ofisini, likini nikifika...