vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    Inawezekana vipi Mtanzania akawa mwanajeshi wa jeshi la Marekani?

    Wakuu, Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba. Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT. So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni...
  2. N

    Azam TV vipi huko, hii App mpya ya Yanga SC haijaathiri mkataba wenu?

    App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje? Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole...
  3. NetMaster

    mwana-tech umejipanga vipi kukabiliana na gharama mpya za data kwa makadirio ya shilingi elf 3 kwa gb 1

    Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa. Aliependekeza Si mwengine bali ni Zungu naibu spika wa bunge letu ambae aliwahi kupendekeza pia kuwe na tozo kwenye...
  4. Suzy Elias

    Kwa namna hiyo siri za nchi zitakuwa salama vipi kama CS mstaafu anazungushwa malipo yake?!

    Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
  5. sky soldier

    Njaa haina adabu, uliwahi kukamatwa na njaa kisawa sawa na uliituliza vipi ?

    Kuna watu wanakula mahindi ya kuchoma jioni kwa kuburidisha vinywa lakini kwa mwengine ni kwajili ya kuokoa maisha, njaa isikie tu. Kuna kipindi njaa ilinipiga kwa siku inayokaribia ya pili bila kuweka chochote tumboni, nililegea sana ila nilijifanya nina nguvu nisichekwe na wenzangu...
  6. R

    Aulizaye ataka kujua: Malkia na Mfalme wanapatikana vipi Uingereza?

    Succession ya ufalme Uingreza inakuwaje? Charles ndiye anakuwa King, why Charles and not any other member from the royal family? Malkia na King wanakupatikanaje?
  7. sky soldier

    kijana mwenye afya nzuri na mwili wa mazoezi kapigwa na mtu aliemzidi urefu kiasi ila hana mwili wa mazoezi, hii inawezekana vipi?

    Ilikuwa ni mida ya saa 11 na robo hivi nikiwa nimetoka kazini nimeenda kiwanja flani kufanya mazoezi. nilifika nikaona kuna majabizano ya kelele kati ya watu wawili.. wa kwanza tumwite papai ni mrefu kiasi ila hana mwili wa mazoezi, wapili tumuite nazi huyu ni mfupi kuzidi X lakini ana mwili wa...
  8. Jesus Mlokozi

    Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

    Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
  9. JITU LA MIRABA MINNE

    Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  10. JITU LA MIRABA MINNE

    Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  11. Mganguzi

    Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  12. T

    Msaada: Nawezaje kujua kama mimba haijatoka yote au Hospitali gani naweza kusafishwa?

    Habari, Naomba kuuliza mimba iliyotoka na nimebleed siku 6 mfululizo, je naweza nikawa nina mimba tena? Mimba iliharibika week iliyopita.
  13. Low Key

    Polisi utu au vipi?

    Je, kwa mfano unakunywa pombe kwa nchi inayotegemea mapato yake kwenye pombe ni nchi au nini? Yaani zinatoka takwimu kuwa sijui TBL wameongoza kwa sijui nini. Leo mnawakakamata watu wanaokunywa pombe na hawajavunja sheria yeyote! Je, mko sawa kweli nyie jeshi la polisi? Hivi mtu alielewa ni wa...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

    Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa. Kuna jambo hapa nimehisi.
  15. C

    Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

    Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi. Mwaka 2019 Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndiyo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano...
  16. Nduna shujaa

    Ilishindikana vipi jambo hili?

    Wakuu kunasabu gani kutokuwa na saini ya waziri wa fedha kwenye hela sh 50, 100, 200 na 500?
  17. R

    Leo tuachane na siasa, tujifunze magari yetu yanafanyaje kazi

    majority humu mnaendesha magari. Je, engine yako inafanyaje kazi? C&P
  18. Kijakazi

    Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

    Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo? Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara...
  19. K

    Wadudu wa mbao za paa unawadhibiti vipi?

    Jamani, nyumba yangu inashambuliwa na wadudu walao mbao, wanatoa sauti kama msumeno. Je, ni kitu gani nifanye kuwazuia ili wasilete madhara? Niko Dar Es salaam, kama kuna dawa labda niambieni inatwaje na inapatika wapi hapa Dar Es Salaam?!
Back
Top Bottom