Je, kwa mfano unakunywa pombe kwa nchi inayotegemea mapato yake kwenye pombe ni nchi au nini? Yaani zinatoka takwimu kuwa sijui TBL wameongoza kwa sijui nini. Leo mnawakakamata watu wanaokunywa pombe na hawajavunja sheria yeyote!
Je, mko sawa kweli nyie jeshi la polisi? Hivi mtu alielewa ni wa...