Huku mimi nafurahi sana ninapouza kipeto cha viazi debe sita vikiwa shambani nauza 65000, sichimbi wala siweki kibarua, japo parachichi soko kidogo lilisumbua, maziwa yanauzika ng'ombe tunataja bei tunayojisikia, nguruwe wanakuja kukuomba uwauzie, naona huu mwaka sio haba gharama za mbolea...