Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV.
Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
Mimi sio msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya michezo lakini nikikuta Wastara Msese wa EATV akiwa ana host kipindi lazima nisikilize hadi mwisho.
Wastara ana charisma kwenye angle hiyo na ninamuweka namba moja kwenye watangazaji wote wa vipindi vya michezo hapa bongo. anashika namba moja...
Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi linapozama, vipindi vingi redioni vinakuwa ni vya uchambuzi wa michezo pekee.
Hata hivyo, kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.