vipindi vya michezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni kuanza asubuhi. Kipindi cha michezo ninachozidi robo saa kianze saa moja jioni

    Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi linapozama, vipindi vingi redioni vinakuwa ni vya uchambuzi wa michezo pekee. Hata hivyo, kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…