virus

  1. Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

    Dakika chache tu zilizopita, Rais wa Marekani Bw. Donald J. Trump, katangaza kuwa shirika la madawa la Marekani, FDA, limeruhusu dawa ya malaria, ambayo wengi wetu tumeitumia sana, kuanza kutumika katika kutibu virusi vya Corona. Chloroquin, ndo dawa yenyewe. Matumizi yatakuwa kwenye hatua ya...
  2. Maofisa wa Afya South Sudan wakimpima afya mkwe wa Malkia Elizabeth airport

    Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege. Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on arrival, with the Queen's ambassador to South Sudan Chris Trott writing on Twitter: "Very pleased to...
  3. Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

    Januari USA waliongea biashara na China. China kawaida yao wana shusha thamani ya pesa ili wauze bidhaa zao kwa wingi nje ya nchi. Kwa mbinu hii USA na dunia nzima wanapoteza kibiashara mshindi ni China. Jambo lingine tena ukiwa unabiashara unataka kuifanyia China inabidi utoe technology ya...
  4. The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

    Adam na Hawa walipoumbwa waliwekwa kwenye bustani ya Eden. Hiyo bustani ya Eden haikuwa hapa duniani. Bustani ya Eden ilikuwa kwenye sayari iitwayo Venus au Zuhura Kwa Kiswahili. Baada ya Adam na Hawa kuvunja maagizo ya Mungu, Mungu aliwaondoa katika bustani ya Eden ( Sayari ya Venus ) na...
  5. Usiku wangu na mgonjwa wa Corona virus

    Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari. Nilifika kazini saa...
  6. Corona Virus Mauritania yafunga Airport

    Habarini wanajanvi. Jana nilirudi kazini Mauritania. Watu wote tuliofika na Ndege za jana tumewekwa kizuizini kwa siku 14 kuangalia kama tuna maambukizi ya Corona virus. Hivyo tutakuwa hapa hotelini kwa siku 14. Haturuhusiwi kutoka vyumbani na wala kukutana na watu. Pia leo Airport imefungwa...
  7. #COVID19 Kenya na Mlipuko wa Covid-19: Nini faida na hasara za kujifunza kwa maamuzi ya haraka waliyochokua?

    Hali ya maambukizi ya Covid19 duniani hadi kufikia 16/03/2020 Kenya wamethibitisha uwepo wa watu 3 wenye Covid19 na tayari leo Rais Kenyatta katangaza kufungwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini kuanzia kesho. Pia amefunga mipaka yake kwa raia wa nchi yoyote ambayo imeshatangaza kuwa na...
  8. B

    Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

    Moja kwa moja kwenye mada: Majirani zetu Kenya, Rwanda na DRC tayari wamesha ripoti kuwapo kwa wagonjwa wa corona katika nchi zao.Kwa hali hii ni wazi kuwa hapa kwetu ni suala la muda tu sasa. Wenzetu, katika nchi nyingi kutegemeana na ukubwa wa tatizo wame kuwa wakichukua hatua kadhaa katika...
  9. Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa virusi vya corona, pamoja na upatikanaji wa karibu dola bilioni 50 kama msaada zaidi wa serikali ya shirikisho kupambana na ugonjwa huo. Trump ametoa tangazo hilo katika mkutano na waandishi wa habari na kusema kwamba hali...
  10. Haji Manara na Corona Virus

    Haji Manara yupo Ulaya now. Anatembelea nchi tofauti tofauti zilizo barani Ulaya. Nchi za Ulaya zinaripotiwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya Corona. Na ugonjwa wa Corona unaripotiwa kuwathiri zaidi wazungu kuliko watu weusi. Honestly: Haji Manara ni kama.mzungu Tu so na yeye anaweza kuwa...
  11. M

    Corona Virus, see what Chinese are eating that would probably cause The outbreak .

    Coronavirus is a deadly virus that came into existence from Wuhan in China. Why this virus came to an existence still gives people around the world serious confusion and nobody can tell the causes of the virus. Coronavirus was said to have killed many people around the world since the spread...
  12. Jinsi ya kujilinda na Corona virus kwenye mwendokasi

    Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Ni vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
  13. Fahamu Machache kuhusu Corona Virus

    Habari, Nimesoma Andiko la Dr.Mikongoti kuhusu Corona Virus na nikajifunza mambo kadhaa ambayo nimedhani ni vyema wote tukajifunza kuhusu Corona Virus; Kirusi cha korona (corona virus) kimechukua jina lake ‘corona’ kutoka lugha ya kilatini kikimaanisha taji (crown) hii ni kutokana na muonekano...
  14. Trump aogopa kupimwa Corona

    Coronavirus: Sophie Gregoire Trudeau - mkewe waziri mkuu wa Canada akutwa na virusi Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau na mke wake watabaki kwenye karantini kwa siku 14 , baada ya mkewe Sophie Gregoire Trudeau kukutwa na virusi vya corona. Sophie Gregoire Trudeau ''anaendelea vizuri na...
  15. Chloroquine ni antivirus ya virusi vya Corona

    Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile Ebola na SARS/MERS. Dawa nyingine ni ile aina ya Chloroquine, dawa ya kukabiliana na malaria ambayo pia...
  16. Corona Virus tishio la pili kubwa baada ya 9/11 katika sekta ya utalii

    Katika mwaka ambao sekta ya utalii itapata msukosuko ni huu hasa ukizingatia utalii si basic needs. Baada ya 9/11 Corona virus ni pigo la pili kubwa kuikumba sekta hii. Kutokana na takwimu za tovuti maarufu ya safari barani Afrika Safaribooking, kumekua na anguko la karibia 6% kutoka kipindi...
  17. Corona Virus: Watanzania hawata wasamehe ugonjwa huu ukifika nchini

    Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie. In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
  18. Kuna aliyewaza kutengeneza face masks kujikinga na corona virus?

    Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks 😷 zako na familia yako. Fanya malipo kwa mobile money. Tembea na hand sanitiser. Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki. Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa...
  19. Kipanya: uhusiano wa karibu uliopo kati ya Corona Virus na Tume Huru ya Uchaguzi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…