Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani.
Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...