Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Zinga, Bagamoyo amesema halazimishi watu kupata Chanjo dhidi ya COVID-19 akieleza, "Kila mtu ni mkubwa ana akili yake. Vituo vipo ukijihisi unataka kwenda nenda, ukiona bado hutaki ni wewe na maamuzi yako"
Amesisitiza "Tusidanganyane, COVID-19 ipo na inachukua...
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.
Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya...
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara amejitenga baada ya kuwa karibu na mtu ambaye aligundulika na Virusi vya Corona. Jina la mtu huyo halijawekwa wazi.
Ametoa wito kwa Wananchi kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa huo na kuheshimu Kanuni ambazo zimewekwa ili kupambana nao.
Endapo muda wake wa...
Serikali imesema hali ya COVID19 ni janga na Mfumo wa Huduma za Afya umekufa. Hospitali za muda mfupi zimeanzishwa kote Nchini humo lakini Wizara ya Afya inasema hazitoshi, na wana changamoto ya utoaji Oksijeni
Taifa hilo limekuwa likirekodi idadi kubwa ya maambukizi ambapo visa 9,823 na vifo...
Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5
Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine
Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini
Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya...
Serikali inawapeleka Wataalamu wa Afya kutoka Jeshini kwenye Jimbo la Gauteng ambalo ni idadi kubwa ya watu na ni kitovu cha Biashara, ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona Virus.
Afrika Kusini ambayo imeathiriwa zaidi ya mlipuko huo Barani Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu ambapo maambukizi...
Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi ya uchumi na amani.
Ripoti hiyo, inayotathmini hali ya mwaka 2020, inaonyesha kwamba mizozo...
Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019.
Akizungumza na...
Shirika la Afya Duniani limeonya kuwa kasi ya COVID-19 ni kubwa kuliko ile ya mgawanyo wa Chanjo, ikisema ahadi ya Mataifa ya G7 kutoa dozi Bilioni moja Nchi masikini haitoshi kwani uhitaji ni mkubwa.
WHO imesema zaidi ya 10,000 wanapoteza maisha kila siku na Jamii hizo zinahitaji Chanjo hivi...
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi.
Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa...
Utafiti uliochapishwa na The Lancet umeeleza kuwa, Wagonjwa mahututi wa COVID19 wapo hatarini zaidi kupoteza maisha barani Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
Kwa mujibu wa Utafiti huo, hali hiyo ni kutokana na Hospitali kukumbwa na uhaba wa vifaa muhimu ambavyo vinasaidia kuokoa...
Makamu rais wa Zimbabwe akiwa katika hospitali ya Wilkins kwa ajili ya chanjo ya kupokea chanjo ya Covid 19.
Shirikisha
Zimbabwe imegundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona ambavo vimeibuka nchini India, Makamu wa Rais Constantino Chiwenga alisema Jumatano, na kuongeza kuwa...
Mamlaka zimeonya aina mpya za Virusi vya Corona vimeonekana kuwaathiri zaidi Watoto na kutokana na hilo, masomo ya Shule zote za Msingi na Sekondari yataendelea kutoka nyumbani kuanzia Jumatano Mei 19 hadi Mei 28 ambapo Muhula utamalizika
Haijawekwa wazi ni Watoto wangapi wamepata maambukizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.