Habari za wakati huu Ndugu,
Natumai mu wazima wa afya ,Nawasalimu katika jina la ( JAMHURI YA MUUNGANO )Wakubwa shikamooni wadogo habari za mida,,pasipo kupoteza muda hii ni historia halisi ya maisha yangu ,lengo ni kumtaka aliye tayari awe Ndugu yangu ila nina uhitaji wa mtu kama baba au...
Kuna jamaa yangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu ila kwa maisha aliyokuwa anaishi anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea hapa kachanganyikiwa week ya pili hii hata nje hatoki. Huyu jamaa ni muitaliano. Mzungu Og kabisa yaani
Kwa jinsi alivyokuwa na list ya...
Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu.
Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa...
Susan Metta ni mwanamke wa miaka 40 kutoka nchini Kenya. Miaka miwili iliyopita alipopashwa habari za kuwa alikuwa na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi,badala ya kukumbwa na simanzi huzuni na machungu, mwanadada huyu anasema kuwa alitabasamu tu na kumueleza muhudumu wa afya aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.