Kitabu hiki kinapatikana BURE ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore.
Somo la kwanza
Kisa cha Vimbwenelehi
Nilipokuwa bado mdogo nilipata kusikia habari za vijitu vya kutisha, vyenye matata sana, vinaitwa Vimbwenelehi. Kimo chao shubiri mbili, akisimama atakufikia gotini. Mimi...