visa vya mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  2. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

    Mahusiano ni jambo zuri, ila muda mwingine ni tabu tupu mnapo kutana watu wawili wenye mitazamo, hisia, malengo au mienendo tofauti. Kuna mambo ikitokea mwenza wako kafanya ni ngumu kuya kubali, na ndio mwisho wa mahusiano. Je ni jambo gani mchumba ako ali fanya ukasema this is it, hakuna cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…