visit jamiicheck

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Khalifa Said: Ni jukumu la waandishi wa habari kulinda wananchi dhidi ya upotoshaji

    Mwaandishi wa habari Khalifa Said anawaasa waandishi wa habari kuwa daraja la kusambaza ukweli kwa wananchi ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya uamuzi sahihi pia kulingana na taarifa wanazokuwa wamezipata na hivyo kuwalinda dhidi ya upotoshaji.
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mdau bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani. Je, ni halisi?

    Mdau wa JamiiCheck.com bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani akiwemo Emmanuel Macron na Ursula von der Leyen wakiwa wamekaa kwenye korido ya White house kwa unyenyekevu wakimsubiri Donald Trump, iwapo ni halisi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…