Khalifa Said: Ni jukumu la waandishi wa habari kulinda wananchi dhidi ya upotoshaji

Khalifa Said: Ni jukumu la waandishi wa habari kulinda wananchi dhidi ya upotoshaji

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Mwaandishi wa habari Khalifa Said anawaasa waandishi wa habari kuwa daraja la kusambaza ukweli kwa wananchi ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya uamuzi sahihi pia kulingana na taarifa wanazokuwa wamezipata na hivyo kuwalinda dhidi ya upotoshaji.
 
Kwamujibu wa maadili ya uandishi wa habari hakuna mwandishi anayeandika upotoshaji, labda awe anafanya propaganda zenye maslahi fulani
 
Back
Top Bottom