Nilalalapo na niamkapo naona biashara pekee itakayoweza nfikisha pale napopataka ni biashara ya simu, idea yangu imejikita zaidi katika uuzaji wa simu ndogo kwa kuanzia, hii ni kutokana na udogo wa kianzio nlichonacho,
Mtaji wangu ni 2M, nmejiandaa kusafiri poli to poli hasa ktk kipindi cha...