viswaswadu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Nokia wajitafakari kwenye suala la smartphone na viswaswadu

    Kama Nokia anataka kurudi ajitafakari Sana bado ana nafasi. Simu za Nokia ZOTE smart na viswaswadu ni GHALI kishenzi LAKINI Zina hardware mbovu Sana hasa KWA smart za SASA . Naposema hardware mbovu sina maana hazidumu ninamaanisha hardware zisizo na performance nzuri, mfano camera, zinaganda...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nikiwa Rais ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu

    Katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kidigitali ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu ili kuhimiza matumizi ya digital Mpango huu uatenda sambamba kuhakikisha bei ya smartphone inakuwa chini sana hata kwa elfu 30 unapata smartphone mpya kwenye box
  3. Mayova

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanapouza simu ndogo (viswaswadu) kwa bei ya jumla

    Wazee mambo vip? Naomba mwenye kujua maeneo ambayo dar wanauza viswaswadu (simu ndogo) kwa bei ya jumla. Natanguliza shukrani
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa wasambazaji/dealers wa viswaswadu

    Nilalalapo na niamkapo naona biashara pekee itakayoweza nfikisha pale napopataka ni biashara ya simu, idea yangu imejikita zaidi katika uuzaji wa simu ndogo kwa kuanzia, hii ni kutokana na udogo wa kianzio nlichonacho, Mtaji wangu ni 2M, nmejiandaa kusafiri poli to poli hasa ktk kipindi cha...
Back
Top Bottom