PreGE2025 Nikiwa Rais ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu

PreGE2025 Nikiwa Rais ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kidigitali ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu ili kuhimiza matumizi ya digital

Mpango huu uatenda sambamba kuhakikisha bei ya smartphone inakuwa chini sana hata kwa elfu 30 unapata smartphone mpya kwenye box
 
Mh raisi hii ni rahisi sana kufanya.
Kama simu fake zilifungwa IMEI, na hazikutumika tena, na hivi viswaswadu inawezekana.

Mbadala wake Serikali yako italeta simu janja zenye gharama nafuu kila mtanzania azimudu.
Ukiwa na Nida unakopeshwa simu janja.

Haya mambo yanawezekana ujue.
Hatujapata tu viongozi wenye upeo kama mh raisi Dennis Roberts

Cc
Nakala kwa
dosho12 Dr am 4 real PhD Evelyn Salt Nomadix stakehigh
 
Kwahaya mawazo akikupa uwaziri sitajaribu hata kusafiri nchi za nje
 
Back
Top Bottom