vita ya israel na iran

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atangaza kuua maafisa ulinzi wawili wa Iran ikiwemo Mkuu wa Ujasusi wa Jeshi La Iran Majid Khadami

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amethibitisha kuuawa kwa maafisa wawili wakuu ambao walikuwa wakitafutwa kwa muda mrefu kutokana na kuhusika kwao na vitendo vya kigaidi duniani. Kuuawa kwa Mkuu wa Ujasusi Maafisa hao wamethibitisha kumuua Majid Khadami, aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi; Iran yafunga mfereji wa Hormuz kusafirisha mafuta kwa meli za Marekani, Israel, Ulaya na washirika wao

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limetangaza kufunga mfereji maarufu wa Harmuz (Strait of Hormuz) ambao ni maalum kwa kupitisha meli za mafuta kwa meli zinazotoka Marekani, Israel na nchi za Ulaya pamoja na washirika wao. Kwenye taarifa hiyo, Iran imedokeza kuwa ina haki ya...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel: Nimeiagiza IDF kujibu kwa nguvu kwa ukiukaji wa Iran wa usitishaji mapigano kwa mashambulizi makali dhidi yao

Back
Top Bottom