Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva
The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike Russia’s Black Sea flagship Moskva off the coast of Odessa last month, Pentagon press-secretary John...
Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
Naona kifurushi chenye kuonyesha mpira sikielewi, nikajiuliza nini tena.. Kumbe ndugu zetu wameshabadilisha bei japo hawajatoa promo watumiaji tuwe hadhiri kama ambavyo wanatoa promo kwenye majambo yao mengine. Mtutangazie, wengine bado tunalipa bei za zamani na sababu za mabadiliko ya bei...
Dodoma, Jumapili 17/4/2022
Vita ni shida. Vita ni taabu. Vita ni balaa. Nani angeweza kutabiri kwamba vita kati ya Urusi na Ukraine ingeathiri uchumi na kuvuruga mipango ya maendeleo ya serikali kiasi hiki? Sasa ni dhahiri kuwa vita hii imepelekea mdororo wa uchumi wa taifa.
Uchumi wa taifa...
Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika kumsaidia raisi Assad kupambana na wapinzani wake walioungwa mkono na Marekani na Israel.
Masaa...
Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine
Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
Salaam Wakuu,
Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...
Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa. Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na...
Rafiki yangu mpendwa,
Chombo kikubwa cha habari nchini China (Horizon News), kilichapa kwa makosa maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwa wahariri wake.
Pamoja na mengine mengi, maelekezo hayo yaliwataka wahariri kuhakikisha hawachapishi habari yoyote inayoichafua Urusi au kusiria upande wa...
Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022.
Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine.
“Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote...
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
Na Jumaa Kilumbi,
Katika andiko hili fupi ningependa kutahadharisha kuwa hatutazungumza kiitikadi, kinafki wala kihisia, hatutazungumza mambo yanavyopaswa kuwa tutazungumza mambo yalivyo, tutazungumza kwa kuangalia ‘practical result’ na uhalisia tunaamini na tunafahamu dunia haiendeshwi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.