Baada ya leo kuripotiwa habari juu ya uegeshaji holela wa malori unavyosumbua wakazi wa Dar es Salaam, operesheni maalumu ya kuyaondoa malori hayo imetangazwa kuanzia kesho Jumanne Februari 6, 2024.
Wakati operesheni hiyo ikitangazwa kuanza, magari yao yameelekezwa kutumia sehemu maalumu...